Daniel 2:33 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Miguu yake ilikuwa ya chuma na nyayo zake zilikuwa za mchanganyiko wa chuma na udongo wa mfinyanzi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
miguu yake ilikuwa ya chuma; na nyayo zake zilikuwa chuma na sehemu nyingine udongo uliochomwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
miguu yake ni ya chuma; na nyayo za miguu yake nusu ya chuma na nusu ya udongo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Miguu yake ilikuwa ya chuma na nyayo zake zilikuwa za mchanganyiko wa chuma na udongo wa mfinyanzi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
miguu yake ilikuwa ya chuma, kwa sehemu nyayo zake zilikuwa chuma na sehemu nyingine zilikuwa udongo wa mfinyanzi uliochomwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
miguu yake ilikuwa ya chuma, na nyayo zake zilikuwa chuma nazo sehemu nyingine zilikuwa udongo wa mfinyanzi uliochomwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
mapaja yake yalikuwa ya chuma, miguu yake ilikuwa nusu ya chuma, nusu ya udongo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
miguu yake ni ya chuma; na nyayo za miguu yake nusu ya chuma na nusu ya udongo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Miguu yake ilikuwa ya chuma na vikanyagio vyake vilikuwa vya muchanganyiko wa chuma na udongo wa mufinyanzi.