Daniel 2:36 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Hiyo ndiyo ndoto yako, ee mfalme. Na sasa tutakupa maana yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Hii ndio ilikuwa ndoto, nasi sasa tutamfasiria mfalme.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hii ndiyo ile ndoto, nasi tutaihubiri tafsiri yake mbele ya mfalme.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Hiyo ndiyo ndoto yako, ee mfalme. Na sasa tutakupa maana yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Hii ndiyo iliyokuwa ndoto, nasi sasa tutamfasiria mfalme.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Hii ndiyo iliyokuwa ndoto, nasi sasa tutamfasiria mfalme.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hii ndiyo ndoto, sasa tumwambie mfalme nayo maana yake:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hii ndiyo ile ndoto, nasi tutaihubiri tafsiri yake mbele ya mfalme.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hiyo ndiyo ndoto yako, ee mufalme. Na sasa tutakupa maana yake.