Daniel 2:8 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo mfalme akawakatiza kwa kusema, “Najua kweli kwamba mnajaribu kupoteza wakati kwa kuwa mnaona kwamba nilikwisha toa kauli yangu kamili,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo mfalme akajibu, “Nina hakika kuwa mnajaribu kupata muda zaidi, kwa sababu mnatambua kuwa nimeamua hivi kwa uthabiti:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mfalme akajibu, akasema, Najua hakika ya kuwa mnataka kupata nafasi, kwa sababu mmeona ya kuwa lile neno lenyewe limeniondoka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo mfalme akawakatiza kwa kusema, “Najua kweli kwamba mnajaribu kupoteza wakati kwa kuwa mnaona kwamba nilikwisha toa kauli yangu kamili,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo mfalme akajibu, “Nina hakika kuwa mnajaribu kuvuta muda, kwa sababu mnatambua kuwa nimeamua hivi kwa uthabiti:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo mfalme akajibu, “Nina hakika kuwa mnajaribu kupata muda zaidi, kwa sababu mnatambua kuwa nimeamua hivi kwa uthabiti:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mfalme akajibu kwamba: Mimi najua kweli, ya kuwa ninyi mnataka kujipatia siku, kwa kuwa mmeona, ya kama neno langu haligeuzwi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mfalme akajibu, akasema, Najua hakika ya kuwa mnataka kupata nafasi, kwa sababu mmeona ya kuwa lile neno lenyewe limeniondoka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu mufalme akawajibu akisema: Ninajua kweli kwamba munajaribu kupoteza wakati kwa maana munaona kwamba nilikwisha toa neno langu kamili,