Daniel 3:11 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na kwamba mtu yeyote asiyeinama chini na kuiabudu sanamu hiyo, atupwe ndani ya tanuri ya moto mkali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na kwamba yeyote ambaye hatasujudu na kuiabudu atatupwa saa hiyo hiyo ndani ya tanuru linalowaka moto.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na kila mtu asiyeanguka na kuabudu atatupwa katika tanuru ya moto uwakao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na kwamba mtu yeyote asiyeinama chini na kuiabudu sanamu hiyo, atupwe ndani ya tanuri ya moto mkali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na kwamba ye yote ambaye hataanguka chini na kuiabudu atatupwa saa iyo hiyo ndani ya tanuru iwakayo moto.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na kwamba yeyote ambaye hataanguka chini na kuiabudu atatupwa saa iyo hiyo ndani ya tanuru iwakayo moto.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kila mtu atakayekataa kuanguka na kukisujudia atatupwa ndani ya tanuru iwakayo moto.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na kila mtu asiyeanguka na kuabudu atatupwa katika tanuru ya moto uwakao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na kwamba mutu yeyote asiyeinama chini na kuiabudu sanamu hiyo, atupwe ndani ya furu la moto mukali.