Daniel 3:14 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfalme Nebukadneza akawauliza, “Je, ni kweli kwamba wewe Shadraki, wewe Meshaki na wewe Abednego, hamuitumikii miungu yangu wala kuiabudu ile sanamu ya dhahabu niliyoisimamisha?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
naye Nebukadneza akawauliza, “Je, ni kweli kwamba ninyi Shadraki, Meshaki na Abednego hamuitumikii miungu yangu wala kuiabudu sanamu ya dhahabu niliyoisimamisha?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nebukadreza akajibu, akawaambia, Enyi Shadraka, na Meshaki, na Abednego, je! Ni kwa makusudi hata hammtumikii mungu wangu wala kuisujudia sanamu ya dhahabu niliyoisimamisha?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfalme Nebukadneza akawauliza, “Je, ni kweli kwamba wewe Shadraki, wewe Meshaki na wewe Abednego, hamuitumikii miungu yangu wala kuiabudu ile sanamu ya dhahabu niliyoisimamisha?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
naye Nebukadneza akawauliza, “Je, ni kweli kwamba wewe Shadraki, Meshaki na Abednego hamuitumikii miungu yangu wala kuiabudu sanamu ya dhahabu niliyoisimamisha?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
naye Nebukadneza akawauliza, “Je, ni kweli kwamba ninyi Shadraki, Meshaki na Abednego hamuitumikii miungu yangu wala kuiabudu sanamu ya dhahabu niliyoisimamisha?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nebukadinesari akawauliza kwamba: Ninyi Sadiraki na Mesaki na Abedi-Nego, mnakataaje kuitumikia miungu yangu na kukiangukia hicho kinyago cha dhahabu, nilichokiweka?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nebukadreza akajibu, akawaambia, Enyi Shadraka, na Meshaki, na Abednego, je! Ni kwa makusudi hata hammtumikii mungu wangu wala kuisujudia sanamu ya dhahabu niliyoisimamisha?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme Nebukadneza akawauliza: Ni kweli kwamba wewe Sadiraki, wewe Mesaki na wewe Abedenego, hamwitumikii miungu yangu wala kuiabudu ile sanamu ya zahabu niliyoisimamisha?