Daniel 3:16 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Shadraki, Meshaki na Abednego wakamjibu mfalme, “Ee Nebukadneza, sisi hatuhitaji kukujibu kuhusu jambo hilo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Shadraki, Meshaki na Abednego wakamjibu mfalme, “Ee Nebukadneza, hatuhitaji kujitetea mbele zako kuhusu jambo hili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Shadraka, na Meshaki, na Abednego, wakajibu, wakamwambia mfalme, Ee Nebukadreza, hamna haja kukujibu katika neno hili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Shadraki, Meshaki na Abednego wakamjibu mfalme, “Ee Nebukadneza, sisi hatuhitaji kukujibu kuhusu jambo hilo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Shadraki, Meshaki na Abednego wakamjibu mfalme, “Ee Nebukadneza, hatuhitaji kujitetea wenyewe mbele zako kuhusu jambo hili,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Shadraki, Meshaki na Abednego wakamjibu mfalme, “Ee Nebukadneza, hatuhitaji kujitetea mbele zako kuhusu jambo hili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sadiraki na Mesaki na Abedi-Nego wakajibu, wakamwambia mfalme: Nebukadinesari, kwetu sisi ni kazi bure kukujibu neno moja tu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Shadraka, na Meshaki, na Abednego, wakajibu, wakamwambia mfalme, Ee Nebukadreza, hamna haja kukujibu katika neno hili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sadiraki, Mesaki na Abedenego wakamujibu mufalme: Ee Nebukadneza, sisi hatuhitaji kukujibu juu ya jambo hilo.