Daniel 3:18 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini, hata kama haitafanyika hivyo, ujue wazi, ee mfalme, kwamba sisi hatutaitumikia miungu yako wala kuiabudu sanamu ya dhahabu uliyosimamisha.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini hata ikiwa hatatuokoa, ee mfalme, tunataka ufahamu kwamba hatutaitumikia miungu yako wala kuiabudu sanamu ya dhahabu uliyoisimamisha.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali kama si hivyo, ujue, Ee mfalme, ya kuwa sisi hatukubali kuitumikia miungu yako, wala kuisujudia hiyo sanamu ya dhahabu uliyoisimamisha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini, hata kama haitafanyika hivyo, ujue wazi, ee mfalme, kwamba sisi hatutaitumikia miungu yako wala kuiabudu sanamu ya dhahabu uliyosimamisha.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini hata ikiwa hatatuokoa, Ee mfalme, tunataka ufahamu kwamba, hatutaitumikia miungu yako wala kuiabudu sanamu ya dhahabu uliyoisimamisha.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini hata ikiwa hatatuokoa, ee mfalme, tunataka ufahamu kwamba, hatutaitumikia miungu yako wala kuiabudu sanamu ya dhahabu uliyoisimamisha.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini ijapo hataki kutuokoa, uvijue, wewe mfalme: miungu yako sisi hatutaitumikia, wala kinyago cha dhahabu, ulichokisimamisha, hatutakiangukia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali kama si hivyo, ujue, Ee mfalme, ya kuwa sisi hatukubali kuitumikia miungu yako, wala kuisujudia hiyo sanamu ya dhahabu uliyoisimamisha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini, hata kama haitafanyika hivyo, ujue wazi, ee mufalme, kwamba sisi hatutaitumikia miungu yako wala kuiabudu sanamu ya zahabu uliyosimamisha.