Daniel 3:21 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, vijana hao wakafungwa hali wamevaa makoti yao, kanzu zao, kofia na mavazi yao mengine, wakatupwa katikati ya ile tanuri ya moto mkali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo watu hawa walifungwa na kutupwa ndani ya tanuru hilo wakiwa wamevaa majoho yao, suruali, vilemba, na nguo zao nyingine.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi watu hao wakafungwa, hali wamevaa suruali zao, na kanzu zao, na joho zao, na mavazi yao mengine, wakatupwa katikati ya ile tanuru iliyokuwa ikiwaka moto.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, vijana hao wakafungwa hali wamevaa makoti yao, kanzu zao, kofia na mavazi yao mengine, wakatupwa katikati ya ile tanuri ya moto mkali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo watu hawa, walifungwa na kutupwa ndani ya tanuru iwakayo moto wakiwa wamevaa majoho yao, suruali, vilemba na nguo zao nyingine.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo watu hawa, walifungwa na kutupwa ndani ya tanuru iwakayo moto wakiwa wamevaa majoho yao, suruali, vilemba na nguo zao nyingine.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo watu hawa wakafungwa pamoja na fulana zao na kanzu zao na shati zao na mavazi yao mengine, wakatupwa ndani ya tanuru iwakayo moto.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi watu hao wakafungwa, hali wamevaa suruali zao, na kanzu zao, na joho zao, na mavazi yao mengine, wakatupwa katikati ya ile tanuru iliyokuwa ikiwaka moto.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, vijana hao wakafungwa wakiwa wamevaa makoti yao, kanzu zao, kofia na nguo zao zingine, wakatupwa katikati ya ile furu la moto mukali.