Daniel 3:22 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa vile amri ya mfalme ilikuwa kali, ule moto ulikuwa umewashwa ukawa mkali sana, hata ndimi za moto zikawateketeza wale watu waliowapeleka Shadraki, Meshaki na Abednego.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Amri ya mfalme ilikuwa ya haraka sana na tanuru lilikuwa na moto mkali kiasi kwamba miali ya moto iliwaua wale askari waliowapeleka Shadraki, Meshaki na Abednego.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi kwa sababu amri ya mfalme ilikuwa ni kali, na ile tanuru ilikuwa ina moto sana, mwako wa ule moto ukawaua wale watu waliowashika Shadraka, na Meshaki, na Abednego.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa vile amri ya mfalme ilikuwa kali, ule moto ulikuwa umewashwa ukawa mkali sana, hata ndimi za moto zikawateketeza wale watu waliowapeleka Shadraki, Meshaki na Abednego.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Amri ya mfalme ilikuwa ya haraka sana na tanuru ilikuwa na moto mkali kiasi kwamba miali ya moto iliwaua wale askari waliowachukuwa Shadraki, Meshaki na Abednego.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Amri ya mfalme ilikuwa ya haraka sana na tanuru ilikuwa na moto mkali kiasi kwamba miali ya moto iliwaua wale askari waliowapeleka Shadraki, Meshaki na Abednego.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kuwa amri ya mfalme ilikuwa imetolewa kwa nguvu kabisa, ule ukali wa moto uliowaka sana ukawaua hao watu waliowachukua akina Sadiraki na Mesaki na Abedi-Nego.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi kwa sababu amri ya mfalme ilikuwa ni kali, na ile tanuru ilikuwa ina moto sana, mwako wa ule moto ukawaua wale watu waliowashika Shadraka, na Meshaki, na Abednego.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa vile amri ya mufalme ilikuwa kali, ule moto ulikuwa umewashwa na kuwa mukali sana, hata ndimi za moto zikawateketeza wale watu waliowapeleka Sadiraki, Mesaki na Abedenego.