Daniel 3:30 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, mfalme Nebukadneza akawapandisha vyeo Shadraki, Meshaki na Abednego katika mkoa wa Babuloni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha mfalme akawapandisha vyeo Shadraki, Meshaki na Abednego katika jimbo la Babeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha mfalme akawakuza Shadraka, na Meshaki, na Abednego, katika wilaya ya Babeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, mfalme Nebukadneza akawapandisha vyeo Shadraki, Meshaki na Abednego katika mkoa wa Babuloni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha mfalme akawapandisha vyeo Shadraki, Meshaki na Abednego katika jimbo la Babeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha mfalme akawapandisha vyeo Shadraki, Meshaki na Abednego katika jimbo la Babeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, mfalme alipowaongezea akina Sadiraki na Mesaki na Abedi-Nego macheo yao ya kuliangalia jimbo la Babeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha mfalme akawakuza Shadraka, na Meshaki, na Abednego, katika wilaya ya Babeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, mufalme Nebukadneza akawapandishia vyeo Sadiraki, Mesaki na Abedenego katika jimbo la Babeli.