Daniel 3:4 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mpiga mbiu akatangaza kwa sauti kubwa, “Enyi watu wa makabila yote, mataifa yote na lugha zote, mnaamriwa kwamba
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo mpiga mbiu akatangaza kwa sauti kubwa, “Enyi watu wa makabila yote, na mataifa, na wa kila lugha, hili ndilo mnaloamriwa kulifanya:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo mpiga mbiu akapiga kelele akisema, Enyi watu wa kabila zote, na taifa, na lugha, mmeamriwa hivi,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mpiga mbiu akatangaza kwa sauti kubwa, “Enyi watu wa makabila yote, mataifa yote na lugha zote, mnaamriwa kwamba
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo mpiga mbiu akatangaza kwa sauti kubwa, kusema, “Enyi watu wa kabila zote, mataifa na watu wa kila lugha, hili ndilo mnaloamriwa kulifanya:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo mpiga mbiu akatangaza kwa sauti kubwa, “Enyi watu wa kabila zote, mataifa na watu wa kila lugha, hili ndilo mnaloamriwa kulifanya:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mpiga mbiu akatangaza kwa sauti ya nguvu kwamba: Ninyi makabila nanyi koo za watu walio wenye ndimi za watu mnaagizwa hivi:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo mpiga mbiu akapiga kelele akisema, Enyi watu wa kabila zote, na taifa, na lugha, mmeamriwa hivi,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutangazaji wa habari akatangaza kwa sauti kubwa: Enyi watu wa makabila yote, mataifa yote na luga zote, munaamuriwa kwamba