Daniel 3:6 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na yeyote ambaye hatainama chini na kuiabudu, atatupwa mara moja katika tanuri ya moto mkali.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtu ambaye hataanguka chini na kuiabudu sanamu hiyo, atatupwa saa hiyo hiyo ndani ya tanuru linalowaka moto.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kila mtu asiyeanguka na kuabudu atatupwa saa iyo hiyo katika tanuru ya moto uwakao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na yeyote ambaye hatainama chini na kuiabudu, atatupwa mara moja katika tanuri ya moto mkali.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtu ye yote ambaye hataanguka chini na kuiabudu sanamu hiyo, atatupwa saa iyo hiyo ndani ya tanuru iwakayo moto.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtu yeyote ambaye hataanguka chini na kuiabudu sanamu hiyo, atatupwa saa iyo hiyo ndani ya tanuru iwakayo moto.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kila mtu atakayekataa kuanguka na kukisujudia atatupwa papo hapo ndani ya tanuru iwakayo moto.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kila mtu asiyeanguka na kuabudu atatupwa saa iyo hiyo katika tanuru ya moto uwakao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na yeyote ambaye hatainama chini na kuiabudu, atatupwa mara moja katika furu la moto mukali.