Daniel 3:8 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati huo, baadhi ya Wakaldayo wakajitokeza na kuwashtaki Wayahudi. Walimwambia mfalme Nebukadneza,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati huo baadhi ya Wakaldayo walijitokeza na kuwashtaki Wayahudi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi baadhi ya Wakaldayo wakakaribia, wakaleta mashitaka juu ya Wayahudi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati huo, baadhi ya Wakaldayo wakajitokeza na kuwashtaki Wayahudi. Walimwambia mfalme Nebukadneza,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati huo baadhi ya Wakaldayo walijitokeza na kuwashtaki Wayahudi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati huo baadhi ya Wakaldayo walijitokeza na kuwashtaki Wayahudi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa sababu hiyo siku zile wakaja waume wa Kikasidi wakawachongea Wayuda,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi baadhi ya Wakaldayo wakakaribia, wakaleta mashitaka juu ya Wayahudi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati huo, watu wamoja kati ya Wakaldea wakajitokeza na kuwashitaki Wayuda. Walimwambia mufalme Nebukadneza: