Daniel 3:9 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Uishi, ee mfalme!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakamwambia Mfalme Nebukadneza, “Ee mfalme, uishi milele!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakajibu, wakamwambia mfalme Nebukadreza, Ee mfalme, uishi milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Uishi, ee mfalme!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakamwambia Mfalme Nebukadneza, “Ee mfalme, uishi milele!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakamwambia Mfalme Nebukadneza, “Ee mfalme, uishi milele!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wakamwambia mfalme Nebukadinesari hivyo: E mfalme, na uwe mwenye uzima kale na kale!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakajibu, wakamwambia mfalme Nebukadreza, Ee mfalme, uishi milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uishi milele, ee mufalme!