Daniel 4:1 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mimi mfalme Nebukadneza, nawaandikia watu wa makabila yote, mataifa yote na lugha zote kote duniani. Nawatakieni amani tele!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mfalme Nebukadneza, Kwa watu wa makabila yote, na mataifa, na wa kila lugha wanaoishi duniani kote: Mafanikio yawe kwenu sana!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mfalme Nebukadreza, kwa watu wa kabila zote, na taifa zote, na lugha zote, wanaokaa katika dunia yote; Amani iongezeke kwenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mimi mfalme Nebukadneza, nawaandikia watu wa makabila yote, mataifa yote na lugha zote kote duniani. Nawatakieni amani tele!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mfalme Nebukadneza, Kwa kabila za watu, mataifa na watu wa kila lugha, wanaoishi katika ulimwengu wote: Amani na mafanikio yawe kwenu!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mfalme Nebukadneza, Kwa kabila za watu, mataifa na watu wa kila lugha, wanaoishi katika ulimwengu wote: Mafanikio yawe kwenu sana!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mfalme Nebukadinesari akawaandikia makabila na koo zote, wao wote wenye ndimi za watu wanaokaa katika nchi yote nzima, kwamba: Utengemano wenu na uwe mwingi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mfalme Nebukadreza, kwa watu wa kabila zote, na taifa zote, na lugha zote, wanaokaa katika dunia yote; Amani iongezeke kwenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi, Nebukadneza, nilikuwa ninaishi katika raha na amani katika nyumba yangu ya kifalme.