Daniel 4:11 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mti uliendelea kukua, ukawa imara na kilele chake kikafika mbinguni. Uliweza kuonekana kutoka kila mahali duniani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mti ule ulikua, ukawa mkubwa na wenye nguvu, nayo ncha yake ikagusa anga; ulionekana hadi miisho ya dunia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mti ule ukakua, ukawa na nguvu, urefu wake ulifika mpaka mbinguni, na kuonekana kwake mpaka mwisho wa dunia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mti uliendelea kukua, ukawa imara na kilele chake kikafika mbinguni. Uliweza kuonekana kutoka kila mahali duniani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mti ule ulikua ukawa mkubwa na wenye nguvu, nayo ncha yake ikagusa anga, ulionekana mpaka miisho ya dunia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mti ule ulikua, ukawa mkubwa na wenye nguvu, nayo ncha yake ikagusa anga; ulionekana mpaka miisho ya dunia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mti huo ukaendelea kukua na kupata nguvu, mpaka kilele chake kifike mbinguni, ukaonekana hata mapeoni kwa nchi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mti ule ukakua, ukawa na nguvu, urefu wake ulifika mpaka mbinguni, na kuonekana kwake mpaka mwisho wa dunia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akalalamika kwa sauti akisema: Mukate muti huu na kuyakatakata matawi yake. Muangushe majani yake na kuyatawanya matunda yake. Nyama wakimbie toka chini yake na ndege kutoka matawi yake.