Daniel 4:13 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Nilipokuwa nimelala kitandani, niliona maono: Mlinzi mtakatifu alishuka kutoka mbinguni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Katika maono niliyoyaona nikiwa nimelala kitandani mwangu, nilitazama, na mbele yangu nikaona mlinzi, aliye mtakatifu, akishuka kutoka mbinguni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nikaona katika njozi za kichwa changu kitandani mwangu, na tazama, mlinzi, naye ni mtakatifu, alishuka kutoka mbinguni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Nilipokuwa nimelala kitandani, niliona maono: Mlinzi mtakatifu alishuka kutoka mbinguni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Katika maono niliyoyaona nikiwa nimelala kitandani mwangu, nilitazama, mbele yangu alikuwepo mlinzi, aliye mtakatifu, akishuka kutoka mbinguni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Katika maono niliyoyaona nikiwa nimelala kitandani mwangu, nilitazama, na mbele yangu alikuwepo mlinzi, aliye mtakatifu, akishuka kutoka mbinguni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nilipokuwa ninautazama katika maono, niliyoyaona kwa macho yangu nilipolala kitandani, mara nikaona, mlinzi mtakatifu akishuka kutoka mbinguni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nikaona katika njozi za kichwa changu kitandani mwangu, na tazama, mlinzi, naye ni mtakatifu, alishuka kutoka mbinguni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akili yake ya kimutu ibadilishwe, akuwe na akili ya nyama kwa miaka saba.