Daniel 4:16 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akili yake ya utu ibadilishwe, awe na akili ya mnyama kwa miaka saba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akili yake na ibadilishwe kutoka ile ya mwanadamu, na apewe akili ya mnyama, hadi nyakati saba zipite juu yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
moyo wake ubadilike, usiwe moyo wa binadamu, na apewe moyo wa mnyama; nyakati saba zikapite juu yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akili yake ya utu ibadilishwe, awe na akili ya mnyama kwa miaka saba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akili yake na ibadilishwe kutoka ile ya mwanadamu na apewe akili ya mnyama, mpaka nyakati saba zipite juu yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akili yake na ibadilishwe kutoka ile ya mwanadamu na apewe akili ya mnyama, mpaka nyakati saba zipite juu yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Moyo wake utageuzwa, usiwe wa kimtu tena, apewe moyo wa kinyama, mpaka miaka saba ipite, akiwa hivyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
moyo wake ubadilike, usiwe moyo wa binadamu, na apewe moyo wa mnyama; nyakati saba zikapite juu yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Danieli, aliyeitwa vilevile Beltesaza, akashangaa kwa muda, na mafikiri yake yakamufazaisha. Mufalme akamwambia: Beltesaza, ndoto hii, wala maana yake visikufazaishe! Beltesaza akamujibu: Bwana wangu, ingelikuwa heri ndoto hii na maana yake iwaelekee waadui zako!