Daniel 4:2 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nimeona vema kuwajulisha ishara na maajabu ambayo Mungu Mkuu amenionesha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni furaha yangu kuwaambia kuhusu ishara za miujiza na maajabu ambayo Mungu Aliye Juu Sana amenifanyia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mimi nimeona vema kutangaza habari za ishara na maajabu, aliyonitendea Mungu aliye juu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nimeona vema kuwajulisha ishara na maajabu ambayo Mungu Mkuu amenionesha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni furaha yangu kuwaambia kuhusu ishara ya miujiza na maajabu ambayo Mungu Aliye Juu Sana amenifanyia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni furaha yangu kuwaambia kuhusu ishara za miujiza na maajabu ambayo Mungu Aliye Juu Sana amenifanyia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vielekezo na vioja, Mungu Alioko huko juu alivyonifanyia, imenipendeza kuvieleza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mimi nimeona vema kutangaza habari za ishara na maajabu, aliyonitendea Mungu aliye juu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini nikaota ndoto iliyonitisha; nikiwa nimelala katika kitanda, mawazo na maono yaliniogopesha.