Daniel 4:20 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mti uliouona ukiwa mkubwa na wenye nguvu, ambao matawi yake marefu yalifika mbinguni, nao ukionekana kutoka kila mahali duniani,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mti uliouona, uliokua ukawa mkubwa na wenye nguvu, nayo ncha yake ikagusa anga na kuonekana duniani kote,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ule mti uliouona, uliokua, ukawa na nguvu, urefu wake ukafika mpaka mbinguni, na kuonekana kwake mpaka dunia yote;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mti uliouona ukiwa mkubwa na wenye nguvu, ambao matawi yake marefu yalifika mbinguni, nao ukionekana kutoka kila mahali duniani,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mti uliouona, uliokua ukawa mkubwa na wenye nguvu, nayo ncha yake ikigusa anga na kuonekana duniani kote,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mti uliouona, uliokua ukawa mkubwa na wenye nguvu, nayo ncha yake ikagusa anga na kuonekana duniani kote,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Umeona mti uliokuwa mkubwa na wenye nguvu, uliofika hata mbinguni kwa kilele chake, uliooneka katika nchi yote nzima;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ule mti uliouona, uliokua, ukawa na nguvu, urefu wake ukafika mpaka mbinguni, na kuonekana kwake mpaka dunia yote;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha ukaona tena, ee mufalme, Mulinzi mutakatifu akishuka kutoka mbinguni, akaamuru: Mukate muti huu, muuangamize. Lakini muache kisiki chake na mizizi yake katika udongo kwenye majani mabichi ya mashamba, kikiwa kimefungwa pale kwa munyororo wa chuma na shaba. Muache kilowanishwe na umande wa mbinguni; muache kiishi pamoja na nyama wa pori kwa miaka saba.