Daniel 4:24 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Hii basi, bwana wangu, ndiyo maana ya ndoto yako, kadiri ya uamuzi wa Mungu Mkuu juu yako:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Ee mfalme, hii ndiyo tafsiri, na hii ni amri ya Aliye Juu Sana aliyoitoa dhidi ya bwana wangu mfalme:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
tafsiri yake ni hii, Ee mfalme, nayo ni amri yake Aliye juu, iliyomjia bwana wangu, mfalme;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Hii basi, bwana wangu, ndiyo maana ya ndoto yako, kadiri ya uamuzi wa Mungu Mkuu juu yako:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ee mfalme, hii ndiyo tafsiri, hii ni amri ya Aliye Juu Sana aliyoitoa dhidi ya bwana wangu mfalme:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Ee mfalme, hii ndiyo tafsiri, na hii ni amri ya Aliye Juu Sana aliyoitoa dhidi ya bwana wangu mfalme:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hii ndiyo maana yake, mfalme: ni shauri lake Alioko huko juu, alilomkatia bwana wangu mfalme.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
tafsiri yake ni hii, Ee mfalme, nayo ni amri yake Aliye juu, iliyomjia bwana wangu, mfalme;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa sababu hiyo, ee mufalme, sikiliza shauri langu. Achana na zambi zako na maovu yako, utende haki na kuwaonea huruma walioteswa; labda muda wako wa kufanikiwa utarefushwa!