Daniel 4:29 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Miezi kumi na miwili baadaye, mfalme Nebukadneza alikuwa anatembea juu ya dari ya ikulu ya mji wa Babuloni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Miezi kumi na mbili baadaye, mfalme alipokuwa akitembea juu ya paa la jumba la kifalme la Babeli,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Baada ya miezi kumi na miwili, alikuwa akitembea ndani ya jumba la kifalme katika Babeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Miezi kumi na miwili baadaye, mfalme Nebukadneza alikuwa anatembea juu ya dari ya ikulu ya mji wa Babuloni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Miezi kumi na miwili baadaye, mfalme alipokuwa akitembea juu ya paa la jumba la kifalme la Babeli,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Miezi kumi na miwili baadaye, mfalme alipokuwa akitembea juu ya paa la jumba la kifalme la Babeli,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
miezi kumi na miwili ilipopita, siku moja alipotembea huko Babeli jumbani mwake mwa kifalme juu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Baada ya miezi kumi na miwili, alikuwa akitembea ndani ya jumba la kifalme katika Babeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utafukuzwa mbali na wanadamu! Utaishi pamoja na nyama wa pori, na utakula majani kama ngombe! Utakaa katika hali hiyo kwa miaka saba, na kwa mwisho utatambua kwamba Mungu Mukubwa ndiye mwenye uwezo juu ya falme za wanadamu, na anamupa ufalme mutu yeyote anayemutaka.