Daniel 4:30 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, akasema kwa sauti, “Tazama Babuloni, mji mkuu nilioujenga kwa nguvu zangu uwe makao yangu ya kifalme na kwa ajili ya utukufu wangu!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
alisema, “Je, huu si Babeli mji mkuu nilioujenga uwe makao ya kifalme, kwa uwezo wangu mkubwa, na kwa ajili ya utukufu wa enzi yangu?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mfalme akanena, akasema, Mji huu sio Babeli mkubwa nilioujenga mimi, uwe kao langu la kifalme, kwa uwezo wa nguvu zangu, ili uwe utukufu wa enzi yangu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, akasema kwa sauti, “Tazama Babuloni, mji mkuu nilioujenga kwa nguvu zangu uwe makao yangu ya kifalme na kwa ajili ya utukufu wangu!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
alisema, “Je, huu si Babeli mji mkuu nilioujenga kama makao ya kifalme, kwa uwezo wangu mkubwa na kwa ajili ya utukufu wa enzi yangu?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
alisema, “Je, huu si Babeli mji mkuu nilioujenga kama makao ya kifalme, kwa uwezo wangu mkubwa, na kwa ajili ya utukufu wa enzi yangu?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ndipo, mfalme aliposema kwamba: Kumbe huu sio mji mkubwa wa Babeli, nilioujenga mimi kuwa kao la kifalme kwa nguvu ya uwezo wangu, utukufu wangu utukuzwe!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mfalme akanena, akasema, Mji huu sio Babeli mkubwa nilioujenga mimi, uwe kao langu la kifalme, kwa uwezo wa nguvu zangu, ili uwe utukufu wa enzi yangu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mara moja jambo hilo juu ya mufalme Nebukadneza likatimizwa. Alifukuzwa mbali na wanadamu, akakuwa anakula majani kama ngombe. Alilowanishwa na umande wa mbinguni, na nywele zake zikakuwa ndefu kama manyoya ya tai, na kucha zake kama za ndege.