Daniel 4:37 — Compare Translations
8 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Na sasa, mimi Nebukadneza ninamsifu na kumtukuza na kumheshimu mfalme wa mbinguni. Maana matendo yake yote ni ya haki, naye huwashusha wenye kiburi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi mimi, Nebukadneza, humhimidi, na humtukuza na kumsifu Mfalme wa mbinguni, kwa sababu kila kitu anachofanya ni haki, na njia zake zote ni adili. Nao wanaoenda kwa kiburi anaweza kuwashusha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi mimi, Nebukadreza, namhimidi Mfalme wa mbinguni, namtukuza na kumheshimu; maana matendo yake yote ni kweli, na njia zake ni za adili; na wale waendao kwa kutakabari, yeye aweza kuwadhili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Na sasa, mimi Nebukadneza ninamsifu na kumtukuza na kumheshimu mfalme wa mbinguni. Maana matendo yake yote ni ya haki, naye huwashusha wenye kiburi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi mimi, Nebukadneza, humhimidi, humtukuza na kumsifu Mfalme wa mbinguni, kwa sababu kila kitu afanyacho ni haki na njia zake zote ni adili. Nao waendao kwa kiburi anaweza kuwashusha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi mimi, Nebukadneza, humhimidi, na humtukuza na kumsifu Mfalme wa mbinguni, kwa sababu kila kitu afanyacho ni haki, na njia zake zote ni adili. Nao waendao kwa kiburi anaweza kuwashusha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa mimi Nebukadinesari ninamsifu mfalme wa mbinguni na kumkuza na kumtukuza, kwani matendo yake yote ni ya kweli, njia zake ni za wongofu, nao waendeleao kujikuza anaweza kuwanyenyekeza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi mimi, Nebukadreza, namhimidi Mfalme wa mbinguni, namtukuza na kumheshimu; maana matendo yake yote ni kweli, na njia zake ni za adili; na wale waendao kwa kutakabari, yeye aweza kuwadhili.