Daniel 5:1 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku moja mfalme Belshaza aliwaandalia karamu kubwa maelfu ya wakuu wake na kunywa divai pamoja nao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mfalme Belshaza aliandaa karamu kubwa kwa ajili ya wakuu wake elfu moja, na akanywa mvinyo pamoja nao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Belshaza, mfalme, aliwafanyia wakuu wake elfu karamu kubwa akanywa divai mbele ya elfu hao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku moja mfalme Belshaza aliwaandalia karamu kubwa maelfu ya wakuu wake na kunywa divai pamoja nao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mfalme Belshaza alifanya karamu kubwa kwa ajili ya maelfu ya wakuu wake na akanywa mvinyo pamoja nao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mfalme Belshaza alifanya karamu kubwa kwa ajili ya maelfu ya wakuu wake na akanywa mvinyo pamoja nao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mfalme Belsasari aliwafanyia wakuu wake elfu karamu kubwa, akanywa mvinyo mbele yao hao elfu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Belshaza, mfalme, aliwafanyia wakuu wake elfu karamu kubwa akanywa divai mbele ya elfu hao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku moja mufalme Belsasari alifanya karamu kubwa kwa ajili ya maelfu ya wakubwa wake na kunywa divai pamoja nao.