Daniel 5:14 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nimesikia kwamba roho ya miungu mitakatifu imo ndani yako, na kwamba una ujuzi, na akili, na hekima ya ajabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nimesikia kwamba roho ya miungu iko ndani yako, na kwamba una ufahamu, akili na hekima ya pekee.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nimesikia habari zako, kwamba roho ya miungu imo ndani yako, na kwamba nuru na ufahamu na akili bora zimeonekana kwako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nimesikia kwamba roho ya miungu mitakatifu imo ndani yako, na kwamba una ujuzi, na akili, na hekima ya ajabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nimesikia kwamba Roho ya Miungu iko ndani yako na kwamba una ufahamu, akili na hekima ya pekee.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nimesikia kwamba roho ya miungu iko ndani yako, na kwamba una ufahamu, akili na hekima ya pekee.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nimesikia habari zako, ya kuwa roho ya miungu imo mwako, kwa hiyo mwako unaoneka mwangaza na utambuzi na ujuzi mwingi sana!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nimesikia habari zako, kwamba roho ya miungu imo ndani yako, na kwamba nuru na ufahamu na akili bora zimeonekana kwako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nimesikia kwamba roho ya miungu mitakatifu iko ndani yako, na kwamba una ujuzi, na akili, na hekima ya ajabu.