Daniel 5:20 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini alipoanza kuwa na kiburi, akawa na roho ngumu na mwenye majivuno, aliondolewa katika kiti chake cha enzi, akanyanganywa utukufu wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini moyo wake ulipokuwa na majivuno na kuwa mgumu kwa kiburi, aliondolewa kutoka kwa kiti chake cha ufalme na kuvuliwa utukufu wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini moyo wake ulipoinuliwa, na roho yake ilipokuwa ngumu akatenda kwa kiburi, aliuzuliwa katika kiti chake cha enzi, nao wakamwondolea utukufu wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini alipoanza kuwa na kiburi, akawa na roho ngumu na mwenye majivuno, aliondolewa katika kiti chake cha enzi, akanyang'anywa utukufu wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini moyo wake ulipokuwa na majivuno na kuwa mgumu kwa kiburi, aliondolewa kutoka kwenye kiti chake cha utawala cha kifalme na kuvuliwa utukufu wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini moyo wake ulipokuwa na majivuno na kuwa mgumu kwa kiburi, aliondolewa kutoka kwa kiti chake cha ufalme na kuvuliwa utukufu wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini moyo wake ulipojikuza, nayo roho yake ilipojisifu na kujivuna vibaya, ndipo, alipokumbwa katika kiti chake cha kifalme, wakamvua nao utukufu wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini moyo wake ulipoinuliwa, na roho yake ilipokuwa ngumu akatenda kwa kiburi, aliuzuliwa katika kiti chake cha enzi, nao wakamwondolea utukufu wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini alipoanza kuwa na kiburi, akakuwa na roho ngumu na mwenye majivuno, aliondolewa katika kiti chake cha kifalme, akanyanganywa utukufu wake.