Daniel 5:22 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini wewe Belshaza, mwanawe, ingawa unayajua haya yote, hukujinyenyekeza!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Lakini wewe mwanawe, ee Belshaza, hukujinyenyekeza, ingawa ulifahamu haya yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wewe, mwanawe, Ee Belshaza, hukujinyenyekeza moyo wako, ijapokuwa ulijua hayo yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini wewe Belshaza, mwanawe, ingawa unayajua haya yote, hukujinyenyekeza!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Lakini wewe mwanawe, Ee Belshaza, hukujinyenyekeza, ingawa ulifahamu haya yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Lakini wewe mwanawe, ee Belshaza, hukujinyenyekeza, ingawa ulifahamu haya yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nawe Belsasari u mwanawe, lakini hukuunyenyekeza moyo wako, ingawa uliyajua hayo yote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wewe, mwanawe, Ee Belshaza, hukujinyenyekeza moyo wako, ijapokuwa ulijua hayo yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wewe Belsasari mwana wake, ingawa unayajua haya yote, haukujinyenyekeza!