Daniel 5:24 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Mungu ametuma mkono uandike maandishi haya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo ameutuma mkono ule ulioandika maneno.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo kile kitanga cha ule mkono kikaletwa kutoka mbele zake, na maandiko haya yameandikwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Mungu ametuma mkono uandike maandishi haya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo ameutuma mkono ule ulioandika maneno.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo ameutuma mkono ule ulioandika maneno.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo ukatumwa naye huo mgongo wa mkono na haya maandiko yaliyoandikwa hapa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo kile kitanga cha ule mkono kikaletwa kutoka mbele zake, na maandiko haya yameandikwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Mungu ametuma mukono uandike maandiko haya.