Daniel 5:25 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Maandishi yenyewe ni: ‘MENE, MENE, TEKELI, PARSINI.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Haya ndio maneno yaliyoandikwa: mene, mene, tekeli, na peresi
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na maandiko yaliyoandikwa ni haya; MENE, MENE, TEKELI, NA PERESI.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Maandishi yenyewe ni: ‘MENE, MENE, TEKELI, PARSINI.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Haya ndiyo maneno yaliyoandikwa: MENE, MENE, TEKELI NA PERESI
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Haya ndiyo maneno yaliyoandikwa: mene, mene, tekeli na peresi
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo haya maandiko yaliyoandikwa hapa ni kwamba: Mene, Mene, Tekel, U-parsin
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na maandiko yaliyoandikwa ni haya; MENE, MENE, TEKELI, NA PERESI.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maandiko yenyewe ni: MENE, MENE, TEKELI, PERESI.