Daniel 5:26 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na hii ndiyo maana yake: MENE maana yake, Mungu amehesabu siku za ufalme wako na kuukomesha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Hii ndiyo maana ya maneno haya: “ Mene: Mungu amezihesabu siku za utawala wako na kuukomesha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na tafsiri ya maneno haya ni hii; MENE, Mungu ameuhesabu ufalme wako na kuukomesha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na hii ndiyo maana yake: MENE maana yake, Mungu amehesabu siku za ufalme wako na kuukomesha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Hii ndiyo maana ya maneno haya: Mene: Mungu amezihesabu siku za utawala wako na kuukomesha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Hii ndiyo maana ya maneno haya: “ Mene: Mungu amezihesabu siku za utawala wako na kuukomesha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maana yao ni hii: Mene ni kwamba: Mungu amezihesabu siku za ufalme wako, akaukomesha
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na tafsiri ya maneno haya ni hii; MENE, Mungu ameuhesabu ufalme wako na kuukomesha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na hii ndiyo maana yake. MENE: Mungu amehesabu siku za ufalme wako na kuukomesha.