Daniel 5:27 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
TEKELI maana yake, wewe umepimwa katika mizani, nawe ukaonekana huna uzito wowote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ Tekeli: Wewe umepimwa katika mizani na kuonekana umepungua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
TEKELI, umepimwa katika mizani nawe umeonekana kuwa umepunguka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
TEKELI maana yake, wewe umepimwa katika mizani, nawe ukaonekana huna uzito wowote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tekeli: Wewe umepimwa katika mizani na umeonekana umepungua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ Tekeli: Wewe umepimwa katika mizani na umeonekana umepungua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tekel ni kwamba: Umepimwa kwa mizani, ukaoneka kuwa mwepesi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
TEKELI, umepimwa katika mizani nawe umeonekana kuwa umepunguka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
TEKELI: wewe umepimwa kwenye mizani, nawe ukaonekana hauna uzito wowote.
Recommended Reading