Daniel 5:28 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
PERESI maana yake, ufalme wako umegawanywa kati ya Wamedi na Wapersi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ Peresi: Ufalme wako umegawanywa na kupewa Wamedi na Waajemi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
PERESI, ufalme wako umegawanyika, nao wamepewa Wamedi na Waajemi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
PERESI maana yake, ufalme wako umegawanywa kati ya Wamedi na Wapersi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Peresi: Ufalme wako umegawanywa na kupewa Wamedi na Waajemi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ Peresi: Ufalme wako umegawanywa na kupewa Wamedi na Waajemi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Peresi ni kwamba: Ufalme wako umegawanyika, wakapewa Wamedi na Wapersia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
PERESI, ufalme wako umegawanyika, nao wamepewa Wamedi na Waajemi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
PERESI: ufalme wako umegawanywa kati ya Wamedi na Wapersi.