Daniel 5:30 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usiku huo huo, mfalme Belshaza wa Wakaldayo, aliuawa;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usiku ule ule, Belshaza mfalme wa Wakaldayo akauawa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usiku uo huo Belshaza, mfalme wa Wakaldayo, akauawa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usiku huo huo, mfalme Belshaza wa Wakaldayo, aliuawa;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usiku ule ule Belshaza, mfalme wa Babeli akauawa,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usiku ule ule, Belshaza mfalme wa Wakaldayo akauawa,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usiku uleule Belsasari, mfalme wa Wakasidi, akauawa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usiku uo huo Belshaza, mfalme wa Wakaldayo, akauawa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usiku uleule, mufalme Belsasari wa Wakaldea, aliuawa.