Daniel 5:31 — Compare Translations
8 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
naye mfalme Dario, Mmedi, akashika utawala akiwa na umri wa miaka sitini na miwili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
naye Dario Mmedi akanyakua ufalme akiwa na miaka sitini na mbili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Dario, Mmedi, akaupokea ufalme, naye umri wake alikuwa na miaka sitini na miwili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
naye mfalme Dario, Mmedi, akashika utawala akiwa na umri wa miaka sitini na miwili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
naye Dario Mmedi akashika ufalme akiwa na miaka sitini na miwili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
naye Dario Mmedi akashika ufalme akiwa na miaka sitini na miwili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ufalme wake akauchukua Mmedi Dario, naye alikuwa mwenye miaka kama 62.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Dario, Mmedi, akaupokea ufalme, naye umri wake alikuwa na miaka sitini na miwili.
Recommended Reading