Daniel 6:1 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfalme Dario aliamua kuteua wakuu 120 kusimamia mambo ya utawala.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ilimpendeza Dario kuteua wakuu mia moja na ishirini kutawala katika ufalme wake wote,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ilimpendeza Dario kuweka juu ya ufalme maliwali mia na ishirini, wawe juu ya ufalme wote;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfalme Dario aliamua kuteua wakuu 120 kusimamia mambo ya utawala.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ilimpendeza Dario kuteua wakuu 120 kutawala katika ufalme wake wote,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ilimpendeza Dario kuteua wakuu 120 kutawala katika ufalme wake wote,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa mapenzi yake Dario akaweka watawala nchi 120 wa kuuangalia ufalme, wakiwa po pote katika huo ufalme.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ilimpendeza Dario kuweka juu ya ufalme maliwali mia na ishirini, wawe juu ya ufalme wote;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye mufalme Dario, wa inchi ya Wamedi, akatwaa utawala akiwa na umri wa miaka makumi sita na miwili.