Daniel 6:19 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alfajiri na mapema, mfalme Dario aliamka, akaenda kwa haraka kwenye pango la simba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Asubuhi na mapema, mfalme akaondoka na kuharakisha kwenda kwenye tundu la simba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Asubuhi mfalme akaondoka mapema, akaenda kwa haraka mpaka penye lile tundu la simba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alfajiri na mapema, mfalme Dario aliamka, akaenda kwa haraka kwenye pango la simba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mapema alfajiri mfalme akaondoka na kuharakisha kwenda kwenye tundu la simba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Asubuhi na mapema, mfalme akaondoka na kuharakisha kwenda kwenye tundu la simba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Asubuhi mapema kulipopambazuka, mfalme akaondoka, akaenda na kulikimbilia lile pango la simba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Asubuhi mfalme akaondoka mapema, akaenda kwa haraka mpaka penye lile tundu la simba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha mufalme akarudi katika nyumba yake ya kifalme ambamo alikesha akifunga kula chakula wala hakupenda kufarijiwa na kitu chochote na hata usiku ule hakupata usingizi.