Daniel 6:21 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Danieli akamjibu mfalme, “Uishi, ee mfalme!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Danieli akajibu, “Ee mfalme, uishi milele!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Danieli akamwambia mfalme, Ee mfalme, uishi milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Danieli akamjibu mfalme, “Uishi, ee mfalme!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Danieli akajibu, “Ee mfalme, uishi milele!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Danieli akajibu, “Ee mfalme, uishi milele!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Danieli alipomjibu mfalme: Wewe mfalme, na uwe mwenye uzima kale na kale!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Danieli akamwambia mfalme, Ee mfalme, uishi milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alipofika karibu akamwita Danieli kwa sauti ya huzuni: Danieli, mutumishi wa Mungu Mwenye Uzima, Mungu wako unayemutumikia siku zote ameweza kukuokoa na simba hawa?