Daniel 6:28 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Danieli akapata fanaka wakati wa utawala wa mfalme Dario na wa mfalme Koreshi, Mpersi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo Danieli akastawi wakati wa utawala wa Dario, na utawala wa Koreshi Mwajemi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Danieli huyo akafanikiwa katika enzi ya Dario, na katika enzi ya Koreshi, Mwajemi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Danieli akapata fanaka wakati wa utawala wa mfalme Dario na wa mfalme Koreshi, Mpersi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo Danieli akastawi wakati wa utawala wa Dario na utawala wa Koreshi, Mwajemi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo Danieli akastawi wakati wa utawala wa Dario, na utawala wa Koreshi Mwajemi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Danieli akapata kutulia siku za ufalme wa Dario, hata siku za ufalme wa Kiro aliyekuwa Mpersia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Danieli huyo akafanikiwa katika enzi ya Dario, na katika enzi ya Koreshi, Mwajemi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye anakomboa na kuokoa, anafanya miujiza na maajabu mbinguni na katika dunia, maana amemwokoa Danieli toka nguvu za simba.