Daniel 6:9 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo, mfalme Dario akaitia sahihi hati ya sheria hiyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo Mfalme Dario akaiweka amri hiyo katika maandishi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi mfalme Dario akayatia sahihi maandiko yale, na ile marufuku.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo, mfalme Dario akaitia sahihi hati ya sheria hiyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo Mfalme Dario akaiweka amri hiyo katika maandishi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo Mfalme Dario akaiweka amri hiyo katika maandishi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa sababu hiyo mfalme Dario akaiandika amri hiyo ya kutisha watu kwa ukali.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi mfalme Dario akayatia sahihi maandiko yale, na ile marufuku.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivyo, ee mufalme Dario, utoe amri hiyo na kuitia sahihi yako kusudi isibadilishwe. Nayo itakuwa sheria ya Wamedi na Wapersi, sheria ambayo haitavunjika.