Daniel 7:12 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wale wanyama wengine walinyanganywa mamlaka yao, lakini wao wenyewe wakaachwa waendelee kuishi kwa muda fulani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
(Wanyama wengine walikuwa wamevuliwa mamlaka yao, lakini waliruhusiwa kuishi kwa muda.)
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kwa habari za wale wanyama wengine, walinyang'anywa mamlaka yao; walakini maisha yao yalidumishwa kwa wakati na majira.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wale wanyama wengine walinyang'anywa mamlaka yao, lakini wao wenyewe wakaachwa waendelee kuishi kwa muda fulani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Wanyama wengine walikuwa wamevuliwa mamlaka yao, lakini waliruhusiwa kuishi kwa muda fulani.)
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
(Wanyama wengine walikuwa wamevuliwa mamlaka yao, lakini waliruhusiwa kuishi kwa muda fulani.)
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha nao wale nyama wengine walinyang'anywa nguvu zao za kutawala, kwani walikuwa wamekatiwa wingi wa siku zao za kuwapo, wasipite wala mwaka wala siku.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kwa habari za wale wanyama wengine, walinyang’anywa mamlaka yao; walakini maisha yao yalidumishwa kwa wakati na majira.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wale nyama wengine walinyanganywa mamlaka yao, lakini wao wenyewe wakaachwa waendelee kuishi kwa muda fulani.