Daniel 7:17 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
‘Wanyama hao wanne wakubwa ni wafalme wanne watakaotokea duniani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
‘Hao wanyama wanne wakubwa ni falme nne zitakazoinuka duniani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wanyama hao wakubwa walio wanne ni wafalme wanne watakaotokea duniani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
‘Wanyama hao wanne wakubwa ni wafalme wanne watakaotokea duniani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
‘Hao wanyama wakubwa wanne ni falme nne zitakazoinuka duniani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
‘Hao wanyama wanne wakubwa ni falme nne zitakazoinuka duniani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nyama wale wakubwa mno walio wanne ndio wafalme wanne watakaoinuka katika nchi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wanyama hao wakubwa walio wanne ni wafalme wanne watakaotokea duniani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyama hao wane wakubwa ni wafalme wane watakaotokea katika dunia.