Daniel 7:2 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mimi Danieli niliona katika maono usiku, pepo nne toka pande zote za mbinguni zikiichafua bahari kuu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Danieli akasema: “Katika maono yangu usiku nilitazama, na hapo mbele yangu kulikuwa na pepo kutoka pande nne za mbingu, zikivuruga bahari kuu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Danieli akanena, akisema, Naliona katika maono yangu wakati wa usiku; na tazama, hizo pepo nne za mbinguni zilivuma kwa nguvu juu ya bahari kubwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mimi Danieli niliona katika maono usiku, pepo nne toka pande zote za mbinguni zikiichafua bahari kuu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Danieli akasema: “Katika maono yangu usiku nilitazama, mbele yangu kulikuwepo na upepo kutoka pande nne za mbinguni zikivuruga bahari kuu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Danieli akasema: “Katika maono yangu usiku nilitazama, na hapo mbele yangu kulikuwepo na upepo kutoka pande nne za mbingu, ukivuruga bahari kuu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi, Danieli akayasimulia kwamba: Katika ndoto ya usiku nilikuwa nikitazama, mara nikaziona pepo nne za mbinguni zilivyoitokea Bahari Kubwa kwa nguvu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Danieli akanena, akisema, Naliona katika maono yangu wakati wa usiku; na tazama, hizo pepo nne za mbinguni zilivuma kwa nguvu juu ya bahari kubwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi Danieli niliona maono usiku. Ilikuwa hivi: Upepo ulivuma juu ya bahari kubwa toka pande zote ine za mbinguni.