Daniel 7:21 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Nikiwa bado naangalia, pembe hiyo ilipigana vita na watakatifu, nayo ikawashinda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nilipoendelea kutazama, pembe hii ilikuwa inapigana vita dhidi ya watakatifu na kuwashinda,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nikatazama, na pembe iyo hiyo ilifanya vita na watakatifu, ikawashinda;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Nikiwa bado naangalia, pembe hiyo ilipigana vita na watakatifu, nayo ikawashinda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nilipoendelea kutazama, pembe hii ilikuwa inapigana vita dhidi ya watakatifu na kuwashinda,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nilipoendelea kutazama, pembe hii ilikuwa inapigana vita dhidi ya watakatifu na kuwashinda,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nami nilikuwa nimeona, pembe hiyo ilivyofanya vita na watakatifu na kuwashinda,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nikatazama, na pembe iyo hiyo ilifanya vita na watakatifu, ikawashinda;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nilipokuwa nikiangalia, pembe hio ilipigana vita na watakatifu, nayo ikawashinda.