Daniel 7:22 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini yule ‘Mzee wa kale na kale’ akainuka, akawapa haki watakatifu wa Mungu na wakati ulipotimia, hao watakatifu wakapewa ufalme.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
hadi huyo Mzee wa Siku alipokuja na kutamka hukumu kwa kuwapa ushindi watakatifu wa Yeye Aliye Juu Sana, na wakati ukawadia walipoumiliki ufalme.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
hata akaja huyo mzee wa siku, nao watakatifu wake Aliye juu wakapewa hukumu; na majira yakawadia watakatifu waumiliki ufalme.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini yule ‘Mzee wa kale na kale’ akainuka, akawapa haki watakatifu wa Mungu na wakati ulipotimia, hao watakatifu wakapewa ufalme.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
mpaka huyo Mzee wa Siku alipokuja na kutamka hukumu kwa kuwapa ushindi watakatifu wa Yeye Aliye Juu Sana, na wakati ukawadia walipomiliki ufalme.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
mpaka huyo Mzee wa Siku alipokuja na kutamka hukumu kwa kuwapa ushindi watakatifu wa Yeye Aliye Juu Sana, na wakati ukawadia walipoumiliki ufalme.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
mpaka yule mwenye siku nyingi alipokuja; ndipo, watakatifu wake Alioko huko juu walipopewa kuhukumu, ndipo, siku zao watakatifu zilipotimia za kuushika ufalme.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
hata akaja huyo mzee wa siku, nao watakatifu wake Aliye juu wakapewa hukumu; na majira yakawadia watakatifu waumiliki ufalme.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini yule Muzee wa zamani sana akainuka, akawapa haki watakatifu wa Mungu na wakati ulipotimia, hao watakatifu wakapewa ufalme.