Daniel 7:26 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini mahakama itafanya kikao; watamnyanganya utawala wake, nao utafutwa na kuangamizwa kabisa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Lakini mahakama itakaa kuhukumu, nayo mamlaka yake yataondolewa na kuangamizwa kabisa milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini hukumu itawekwa, nao watamwondolea mamlaka yake, kuipoteza na kuiangamiza, hata milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini mahakama itafanya kikao; watamnyang'anya utawala wake, nao utafutwa na kuangamizwa kabisa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Lakini ndipo mahakama itakapokaa kuhukumu, nayo mamlaka yake yataondolewa na kuangamizwa kabisa milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Lakini mahakama itakaa kuhukumu, nayo mamlaka yake yataondolewa na kuangamizwa kabisa milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Zitakapokwisha atahukumiwa, wamnyang'anye nguvu zake za kutawala, wazitoweshe na kumwangamiza kabisa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini hukumu itawekwa, nao watamwondolea mamlaka yake, kuipoteza na kuiangamiza, hata milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini waamuzi watajitayarisha kwa kuamua watamunyanganya utawala wake, nao utafutwa na kuangamizwa kabisa.