Daniel 7:3 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanyama wakubwa wanne, wakainuka kutoka humo baharini, kila mmoja tofauti na mwenzake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanyama wanne wakubwa, kila mmoja tofauti na mwenzake, wakajitokeza kutoka bahari.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo wanyama wakubwa wanne wakatoka baharini, wote wa namna mbalimbali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanyama wakubwa wanne, wakainuka kutoka humo baharini, kila mmoja tofauti na mwenzake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanyama wakubwa wanne, kila mmoja tofauti na mwenzake, wakajitokeza kutoka baharini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanyama wanne wakubwa, kila mmoja tofauti na mwenzake, wakajitokeza kutoka bahari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, nyama wakubwa wanne walipotoka baharini, kila mmoja wao alikuwa wa namna yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo wanyama wakubwa wanne wakatoka baharini, wote wa namna mbalimbali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyama wakubwa wane wakainuka kutoka ndani ya bahari, kila mumoja akiwa tofauti na mwenzake.