Daniel 8:14 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yule mtakatifu wa kwanza akamjibu, ‘Kwa muda wa nyakati za jioni na asubuhi 2,300. Kisha maskani ya Mungu itapata tena hali yake halisi.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akaniambia, “Itachukua jioni na asubuhi elfu mbili na mia tatu; ndipo mahali patakatifu patawekwa wakfu tena.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamwambia, Hata nyakati za jioni na asubuhi elfu mbili na mia tatu; ndipo patakatifu patakapotakaswa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yule mtakatifu wa kwanza akamjibu, ‘Kwa muda wa nyakati za jioni na asubuhi 2,300. Kisha maskani ya Mungu itapata tena hali yake halisi.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akaniambia, “Itachukua siku 2,300, ndipo mahali patakatifu patawekwa wakfu tena.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akaniambia, “Itachukua siku 2,300. Ndipo mahali patakatifu patawekwa wakfu tena.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaniambia: Mpaka zipite 2300 za kuchwa na kucha; ndipo, Patakatifu patakapoyapata yapapasayo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamwambia, Hata nyakati za jioni na asubuhi elfu mbili na mia tatu; ndipo patakatifu patakapotakaswa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yule mutakatifu wa kwanza akamujibu: Kwa muda wa nyakati za magaribi na asubui elfu mbili mia tatu. Kisha hekalu la Mungu litapata tena hali yake kamili.