Daniel 8:16 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nikasikia sauti ya mwanaadamu kutoka katika mto Ulai ikiita, ‘Gabrieli, mweleze mtu huyu maana ya maono aliyoona.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha nikasikia sauti ya mwanadamu kutoka Mto Ulai ikiita, “Jibraili, mwambie mtu huyu maana ya maono haya.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nikasikia sauti ya mwanadamu katikati ya mto Ulai, iliyoita na kusema, Gabrieli, mfahamishe mtu huyu maono haya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nikasikia sauti ya mwanaadamu kutoka katika mto Ulai ikiita, ‘Gabrieli, mweleze mtu huyu maana ya maono aliyoona.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha nikasikia sauti ya mwanadamu kutoka mto Ulai ikiita, “Gabrieli, mwambie mtu huyu maana ya maono haya.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha nikasikia sauti ya mwanadamu kutoka Mto Ulai ikiita, “Jibraili, mwambie mtu huyu maana ya maono haya.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikasikia sauti ya mtu iliyotoka katika mto wa Ulai, ikaita kwamba: Gaburieli, mtambulishe mtu huyu aliyoyaona!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nikasikia sauti ya mwanadamu katikati ya mto Ulai, iliyoita na kusema, Gabrieli, mfahamishe mtu huyu maono haya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nikasikia sauti ya mwanadamu kutoka katika muto Ulayi ikiita: Gabrieli, umwelezee mutu huyu maana ya maono aliyoona.