Daniel 8:19 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha akaniambia, ‘Sikiliza, ninakufahamisha matokeo ya ghadhabu ya Mungu yatakavyokuwa. Maono hayo yanahusu wakati wa mwisho.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akaniambia, “Nitakuambia yale yatakayotokea baadaye wakati wa ghadhabu, kwa sababu maono haya yanahusu wakati wa mwisho ulioamriwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaniambia, Tazama, nitakujulisha yatakayokuwa wakati wa mwisho wa ghadhabu; maana, ni ya wakati wa mwisho ulioamriwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha akaniambia, ‘Sikiliza, ninakufahamisha matokeo ya ghadhabu ya Mungu yatakavyokuwa. Maono hayo yanahusu wakati wa mwisho.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akaniambia, “Nitakuambia yale yatakayotokea baadaye katika wakati wa ghadhabu, kwa sababu maono haya yanahusu wakati wa mwisho ulioamriwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akaniambia, “Nitakuambia yale yatakayotokea baadaye wakati wa ghadhabu, kwa sababu maono haya yanahusu wakati wa mwisho ulioamriwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akasema: Tazama, mimi nitakujulisha yatakayokuwa penye mwisho wa makali haya, kwani hayo yanayaelekea yale ya mwisho.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaniambia, Tazama, nitakujulisha yatakayokuwa wakati wa mwisho wa ghadhabu; maana, ni ya wakati wa mwisho ulioamriwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha akaniambia: Sikiliza, ninakufahamisha jinsi matokeo ya kasirani ya Mungu yatakavyokuwa. Maono hayo yanaelekea wakati wa mwisho.